Reminders

Islam Dawah

Asalam aleikum ndugu zangu .kwa jina la mwenyezi mungu mwingi wa rehema mwenye kurehemu.hakuna mola apasaye kuabudiwa kwa haki ila yeye,ufalme ni wake na yeye ni mjuzi wa yale yaliofichika na yale yaliyo wazi na muhammad ni mtume wake na mja wake

Advertisements